Episode 27 - TUTAFAKARI BIBLIA Linus Siwiti's podcast

Episode 27 - TUTAFAKARI BIBLIA Linus Siwiti's podcast

Linus Siwiti's podcast

02/10/2020 4:15AM

Episode Synopsis "Episode 27 - TUTAFAKARI BIBLIA Linus Siwiti's podcast"

2 Tazama, nimekufanya mdogo kati ya mataifa; Umedharauliwa sana. Obadia 1:23 Kiburi cha moyo wako kimekudanganya, Wewe ukaaye katika pango za majabali, Mwenye makao yako juu sana; Asemaye moyoni, Ni nani atakayenishusha mimi? Obadia 1:34 Ujapopanda juu kama tai, Ijapokuwa kioto chako kimewekwa kati ya nyota, Nitakushusha kutoka huko; asema Bwana. Obadia 1:47 Watu wote wa mapatano yako Wamekufukuza, hata mipakani; Wale waliofanya amani nawe Wamekudanganya, na kukushinda; Walao mkate wako wameweka mtego chini yako; Wala hana ufahamu wa hayo ndani yake. Obadia 1:712 Lakini usiitazame siku ya ndugu yako, siku ya mashaka yake, wala usisimange juu ya wana wa Yuda siku ya kuangamizwa kwao; wala usinene maneno ya kiburi katika siku ya shida yao. Obadia 1:1213 Usiingie katika lango la watu wangu, siku ya msiba wao; naam, usiyatazame mateso yao, siku ya msiba wao; wala usitie mikono yako juu ya mali zao, siku ya msiba wao. Obadia 1:1314 Wala usisimame penye njia panda, ili kuwakatilia mbali watu wake wakimbiao; wala usiwatoe watu wake waliosalia, katika siku ya dhiki. Obadia 1:14

Listen "Episode 27 - TUTAFAKARI BIBLIA Linus Siwiti's podcast"

More episodes of the podcast Linus Siwiti's podcast