Listen "USIHOFU JUU YA MAMBO YA DUNIANI KUWA NA HOFU ya MUNGU"
Episode Synopsis
1 Kwa malaika wa kanisa lililoko Efeso andika; Haya ndiyo anenayo yeye azishikaye hizo nyota saba katika mkono wake wa kuume, yeye aendaye katikati ya vile vinara saba vya dhahabu. Ufunuo wa Yohana 2:12 Nayajua matendo yako, na taabu yako, na subira yako, na ya kuwa huwezi kuchukuliana na watu wabaya, tena umewajaribu wale wajiitao mitume, nao sio, ukawaona kuwa waongo; Ufunuo wa Yohana 2:23 tena ulikuwa na subira na kuvumilia kwa ajili ya jina langu, wala hukuchoka. Ufunuo wa Yohana 2:34 Lakini nina neno juu yako, ya kwamba umeuacha upendo wako wa kwanza. Ufunuo wa Yohana 2:45 Basi, kumbuka ni wapi ulikoanguka; ukatubu, ukayafanye matendo ya kwanza. Lakini, usipofanya hivyo, naja kwako, nami nitakiondoa kinara chako katika mahali pake, usipotubu. Ufunuo wa Yohana 2:56 Lakini unalo neno hili, kwamba wayachukia matendo ya Wanikolai, ambayo na mimi nayachukia. Ufunuo wa Yohana 2:67 Yeye aliye na sikio, na alisikie neno hili ambalo Roho ayaambia makanisa. Yeye ashindaye, nitampa kula matunda ya mti wa uzima, ulio katika bustani ya Mungu. Ufunuo wa Yohana 2:78 Na kwa malaika wa kanisa lililoko Smirna andika; Haya ndiyo aneneyo yeye aliye wa kwanza na wa mwisho, aliyekuwa amekufa, kisha akawa hai. Ufunuo wa Yohana 2:89 Naijua dhiki yako na umaskini wako, (lakini u tajiri) najua na matukano ya hao wasemao ya kuwa ni Wayahudi, nao sio, bali ni sinagogi la Shetani. Ufunuo wa Yohana 2:910 Usiogope mambo yatakayokupata; tazama, huyo Ibilisi atawatupa baadhi yenu gerezani ili mjaribiwe, nanyi mtakuwa na dhiki siku kumi. Uwe mwaminifu hata kufa, nami nitakupa taji ya uzima. Ufunuo wa Yohana 2:1011 Yeye aliye na sikio, na alisikie neno hili ambalo Roho ayaambia makanisa. Yeye ashindaye hatapatikana na madhara ya mauti ya pili. Ufunuo wa Yohana 2:1112 Na kwa malaika wa kanisa lililoko Pergamo andika; Haya ndiyo anenayo yeye aliye na huo upanga mkali, wenye makali kuwili. Ufunuo wa Yohana 2:1213 Napajua ukaapo, ndipo penye kiti cha enzi cha Shetani; nawe walishika sana jina langu, wala hukuikana imani yangu, hata katika siku za Antipa shahidi wangu, mwaminifu wangu, aliyeuawa kati yenu, hapo akaapo Shetani. Ufunuo wa Yohana 2:13
More episodes of the podcast Linus Siwiti's podcast
MTU WANGU WA LEO
05/02/2025
Bill Ackman_1735078991364_1.mp3
24/12/2024
MAMBO 4 YA KUFANYA UNAPOANZA WIKI MPYA
20/10/2024
MAMBO 4 YA KUFANYA UNAPOANZA WIKI MPYA
20/10/2024
FOCUS.mp3
08/09/2024
KUNYAMAZA VS KUNENA.m4a
29/06/2024
TUNZA FURAHA YAKO (Maintain Your Happiness)
21/02/2024
Episode 19 - Linus Siwiti's podcast
02/10/2021