TUNZA FURAHA YAKO (Maintain Your Happiness)

21/02/2024 12 min
TUNZA FURAHA YAKO (Maintain Your Happiness)

Listen "TUNZA FURAHA YAKO (Maintain Your Happiness)"

Episode Synopsis

Akasema, Uso wangu utakwenda pamoja nawe, nami nitakupa raha. Kutoka 33:14 Likumbukeni neno lile alilowaamuru Musa mtumishi wa Bwana, akisema, Bwana, Mungu wenu, anawapa ninyi raha, naye atawapa nchi hii. Yoshua 1:13 Kisha Naomi akamwambia mkwewe, Je! Mwanangu, si vizuri nikutafutie raha, ili upate mema? Ruthu 3:1