Episode Synopsis "Umuhimu wa fedha katika biashara yako"
Fedha ndiyo mfalme katika biashara yako. Bila fedha huwezi kusonga na kufika mbali. Ungana nami leo ninapo ongelea maeneo saba (7) yanayosababisha maumivu katika biashara na namna ya kukabiliana nayo na kuyazuia