Michezo

15/08/2020 10 min
Michezo

Episode Synopsis

Mpira wa jana uliishangaza dunia baada ya barca kufungwa goli 8 ndani ya dakika 90, wakati wao wakifunga goli 2 tu. Kitendo hicho kimetafsiriwa kama ni udhalilisha mkubwa sana kwa timu kubwa ya barca. Walichofanyiwa katika mchezo wa jana hakikuwa kitu kizuri katika historia ya mpira duniani.--- Send in a voice message: https://anchor.fm/ayubu-chewale/message