Episode Synopsis "Namna ya kukuza/ongeza thamani yako"
Ni namna gani unaweza kuikuza thamani yako, haijalishi ni wapi ulipo, unafanya kitu gani, ni binadamu wa jinsia gani. Hapo ulipo unaweza ikuza/ongeza thamnai ya hicho unachofanya na kukuletea mrejesho chanya. Ungana na mimi kusikiliza ni namna gani ya kuiongeza thamani yako