JUMA JIPYA: Haupo peke yako

JUMA JIPYA: Haupo peke yako

Kizazi Kipya Podcast

07/09/2020 8:57AM

Episode Synopsis "JUMA JIPYA: Haupo peke yako"

Kwenye hii episode ya Juma Jipya Edition Stephen amejaribu kukukumbusha kuwa kila wakati ni wakati sahihi wa kukua na kupiga hatua, kila wakati ni wakati mpya na ni kurasa mpya ya maisha. Sisi sote hatujakamilika, tunajifunza na kukua kila wakati, na tunaweza kuwa tunafanya hivyo kwa kuteleza au kuanguka. Yanapo tokea haya tukumbuke kuwa ni sehemu ya mchakato na tunyanyuke na kuendelea. Haupo peke yako kwenye huu mchakato, sote tunapitia haya.

Listen "JUMA JIPYA: Haupo peke yako"

More episodes of the podcast Kizazi Kipya Podcast