Episode Synopsis "JUMA JIPYA #05: Kuurudisha uwezo wa kuamua mambo yako kwako"
Katika Episode hii Stephen Kaaya amegusia kuhusu kuurudisha uwezo wako wa kuamua cha kufanya kwako, hasa pale unapo kuwa katika tukio ambalo ni la ghafla na hukulitaka. Itakua vyema sana ukichukulia matukio kama hayo kuwa ni fursa, fursa ya kurudisha uwezo wako; uwezo wa kuamua cha kufanya. Chukua fursa alafu twenzetu. Kwa mengi zaidi sikiliza Episode nzima pia tembelea instagram account; @kizazikipyapodcast .
Listen "JUMA JIPYA #05: Kuurudisha uwezo wa kuamua mambo yako kwako"
More episodes of the podcast Kizazi Kipya Podcast
- JUMA JIPYA #05: Kuurudisha uwezo wa kuamua mambo yako kwako
- JUMA JIPYA #04: Amani ya Kufanya Maamuzi
- JUMA JIPYA #03: Tuliza Moyo
- JUMA JIPYA #02: Simamia Ukweli Wako
- JUMA JIPYA #01: Tunavyo Anza 2021
- TRAILER
- JUMA JIPYA: 2020, Niliyo jifunza.
- JUMA JIPYA: Umuhimu wa mabadiliko katika maisha.
- JUMA JIPYA: Ujasiri wa kutoa bila kutegemea kurudishiwa.
- JUMA JIPYA: Msukumo wa kupiga hatua na kusonga mbele.
- JUMA JIPYA: Moyo wa kujichagua wewe kwanza.
- JUMA JIPYA: Haupo peke yako
- Juma Jipya: Wewe ni Toleo Jipya Kila Siku.
- JUMA JIPYA: Wewe ni Expert.