JUMA JIPYA: Ujasiri wa kutoa bila kutegemea kurudishiwa.

JUMA JIPYA: Ujasiri wa kutoa bila kutegemea kurudishiwa.

Kizazi Kipya Podcast

12/10/2020 6:01AM

Episode Synopsis "JUMA JIPYA: Ujasiri wa kutoa bila kutegemea kurudishiwa."

Katika episode hii ya Juma Jipya Edition ya Kizazi Kipya Podcast nimejaribu kukukumbusha kuhusiana na kufanya kwa wengine; kuonyesha upendo, kuhurumia na kusaidia pia. Ila ili tufanye kwa wengine bila kutegemea kurudishiwa ni lazima tuwe nacho sisi kwanza na ni kwa kuanza kujihurumia, kujipenda na kujijali. Hatuwezi kutoa maji kwa mwingine wakati kikombe chetu ni kitupu na hakina kitu. Tufanye hayo yote huku tukikumbuka kwenda kwa mwendo wetu na kuwa sisi ni binadamu tuna mapungufu. 

Listen "JUMA JIPYA: Ujasiri wa kutoa bila kutegemea kurudishiwa."

More episodes of the podcast Kizazi Kipya Podcast