Hii ni kwa wale wanao uishi ukweli ulio ndani yao. Wanaopitia mchakato wa kupona na kukua kwa namna ambayo ni sahihi na ya kipekee kwao. Kwa walio anza kutambua na kupunguza vikwazo vilivyo kuwapo toka vizazi na vizazi. Walio amua kujikubali na kuwa wao kikamilifu kwa jinsi walivyo .Wanao amini katika kuweka mipaka, kujiweka wa kwanza na kwamba uhalisia ni tofauti kwa kila mmoja wetu. Hawa ni kizazi kipya na hii podcast ni kwa ajili yao.
Latest episodes of the podcast Kizazi Kipya Podcast
- JUMA JIPYA #05: Kuurudisha uwezo wa kuamua mambo yako kwako
- JUMA JIPYA #04: Amani ya Kufanya Maamuzi
- JUMA JIPYA #03: Tuliza Moyo
- JUMA JIPYA #02: Simamia Ukweli Wako
- JUMA JIPYA #01: Tunavyo Anza 2021
- TRAILER
- JUMA JIPYA: 2020, Niliyo jifunza.
- JUMA JIPYA: Umuhimu wa mabadiliko katika maisha.
- JUMA JIPYA: Ujasiri wa kutoa bila kutegemea kurudishiwa.
- JUMA JIPYA: Msukumo wa kupiga hatua na kusonga mbele.
- JUMA JIPYA: Moyo wa kujichagua wewe kwanza.
- JUMA JIPYA: Haupo peke yako
- Juma Jipya: Wewe ni Toleo Jipya Kila Siku.
- JUMA JIPYA: Wewe ni Expert.