Episode Synopsis "Je tukifuata haya muziki wetu utafika??"
Muziki wa nyanda za juu kusini unaonekana kutokuwa na mapokezi mazuri hasa unapofanyika katika studio za kusini tofauti na wasanii hawa wa kusini wakifanyia katika studio kubwa mapokezi yake huwa ni makubwa pia. Je tatizo ni la wasanii au maproducer hawa wa kusini?