SERA NA SIASA KWA USTAWI WA JAMII Ep 12.

26/03/2025 1h 19min Temporada 1 Episodio 12

Listen "SERA NA SIASA KWA USTAWI WA JAMII Ep 12."

Episode Synopsis

Katika episode hii ya Siasa Zetu, Dorcas Fransis na Rahma Mwita wanajadili kuhusu sera na siasa kwa ustawi wa jam ii! Humu kuna mijadala mbali mbali kama jinsi serikali inavyotengeneza sera za kuhakikisha kila mwananchi ana haki ya kuchangia mawazo katika kukuza taifa .