SIASA, TEKNOLOJIA NA UCHAGUZI Ep 13.

26/03/2025 1h 38min Temporada 1 Episodio 13

Listen "SIASA, TEKNOLOJIA NA UCHAGUZI Ep 13."

Episode Synopsis

Katika episode hii ya Siasa Zetu, Pascal Sulley na Lusungu Mubofu wanajadili kuhusu Siasa,Teknolojia na Uchaguz ! Humu kuna mijadala mbali mbali kama jinsi serikali inavyohamasisha uvumbuzi kwa kutoa ruzuku na sera zinazosaidia maendeleo ya teknolojia.