MCHANGO WA SIASA KATIKA AJIRA Ep 11.

26/03/2025 1h 50min Temporada 1 Episodio 11

Listen "MCHANGO WA SIASA KATIKA AJIRA Ep 11."

Episode Synopsis

Katika episode hii ya Siasa Zetu, Joseph Malekela na Ndolezi Petro wanajadili kuhusu Mchango wa siasa katika ajira ! Humu kuna mijadala mbali mbali kama jinsi serikali inavyotengeneza sera za kusaidia ajira kwa vijana na wananchi kwa ujumla.