NAFASI YA MWANANCHI KATIKA SIASA Ep 10.

26/03/2025 1h 36min Temporada 1 Episodio 10

Listen "NAFASI YA MWANANCHI KATIKA SIASA Ep 10."

Episode Synopsis

Katika episode hii ya Siasa Zetu, Richard mbunda na Herny mwinuka wanajadili kuhusu nafasi muhimu ya mwananchi katika siasa! Humu kuna mijadala mbali mbali kuhusu ushiriki wa mwananchi kwenye uchaguzi, mijadala ya kisiasa, na ufuatiliaji wa utendaji wa serikali.