MJUE MCHUNGAJI NA MWANASIASA MASHUHURI PETER MSIGWA Ep.07

27/03/2025 1h 18min Temporada 1 Episodio 7

Listen "MJUE MCHUNGAJI NA MWANASIASA MASHUHURI PETER MSIGWA Ep.07"

Episode Synopsis

Mch. Peter Msigwa ni Mwanasiasa wa Tanzania, Mbunge wa jimbo la Iringa Mjini kwa kipindi cha muda mrefu tangu mwaka 2010. Ingawa alikuwa mwanachama wa CHADEMA awali, alijiunga na chama tawala CCM mnamo Juni mwaka 2024.