Siasa Zetu

Por: 123 Productions
SIASA ZA TANZANIA Neno Siasa linamaana tofauti tofauti kwa kila mtu, wengi wanadhani siasa ni dhana ya kujihusisha na uongozi wa nyazifa mbali mbali za serikali. Lakini inawezekana tusichokijua ni kwamba Siasa zinagusa kila nyanja za maisha ya Mtanzania, iwe ni uchumi, maisha ya kila siku, michezo, afya, maendeleo ya jamii na kadha wa kadha. Mijadala ya Siasa inahitaji kujadiliwa katika mitazamo tofauti tofauti ili kuelewa athari na faida zake kwenye maisha ya kila siku, hiyo ndiyo kwasababu Siasa Zetu the Podcast inakuletea mjadala na wataalamu, wanasiasa na viongozi mbali mbali kutoa uelewa na uzoefu wa jinsi siasa zinavyo fanya kazi Tanzania.
11 episodios disponibles

Latest episodes of the podcast Siasa Zetu