Episode Synopsis "Maoni ya Watanzania kuelekea uchaguzi mkuu 2015"
Tukiwa na siku saba kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2015, Watzanzania wana maoni gani juu ya uchaguzi na wana matarajio gani?Msikilize Bwana Japheci Poncian, Mtanzania anayeishi katika jiji la Newcastle Uigereza tulipoongea naye katika makala yetu mpya ya Wezesha Jamii.#Uchaguzi2015 #WezeshaJamii
Listen "Maoni ya Watanzania kuelekea uchaguzi mkuu 2015"
More episodes of the podcast Finland Bernard's tracks
- EPisode 003 Na Agnes Mgongo kuhusu Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani 2016
- Episode 002: Je Ahadi wanazotoa wagombea wakati wa kampeni za kuwaomba wananchi ridhaa ya kuwatumikia zinatekelezeka?
- Eps02. Je Ahadi wanazotoa wagombea wakati wa kampeni za kuwaomba wananchi ridhaa ya kuwatumikia zinatekelezeka?
- Maoni ya Watanzania kuelekea uchaguzi mkuu 2015
- Wezesha Jamii Promo