Wezesha Jamii Promo

Wezesha Jamii Promo

Finland Bernard's tracks

15/10/2015 8:22AM

Episode Synopsis "Wezesha Jamii Promo"

Wezesha Jamii ni kipindi kipya kabisa ambacho kitakuwa kinakujia kwa jia ya mtandao pia kupitia simu yako popote ulipo.Kipindi hiki kina lengo la kuwaleta wanajamii pamoja na kujadili matatizo mbalimbali ya kijamii kwa pamoja pia kuyatafutia ufumbuzi wa kijamii.Wezesha Jamii inaletwa kwenu kwa ushirikiani kati ya Bee Media, Hope Foundation na One Action Tanzania. Wewe pia ni sehemu ya kipindi hiki, na tutakufikia popote ulipo. Kaa tayari, kitakujia hivi karibuni,

Listen "Wezesha Jamii Promo"

More episodes of the podcast Finland Bernard's tracks