Episode Synopsis "Biashara Ya Ndege ATCL Tanzania (Pre CAG report)"
Tuna-anagazia bishara za ndege duniani hususani biashara ya ATCL Tanzania. Hasara ya 60 billion ya ATCL ilishtua wengi baada ya report ya CAG. Tuliaangalia kiundani kabla ya report ya CAG, na haya ndio maoni yetu kuhusu ATCL.