Exclusive: Siku-Enjoy ndoa nilikamilisha picha tu, nilitengeneza pesa kidogo

Exclusive: Siku-Enjoy ndoa nilikamilisha picha tu, nilitengeneza pesa kidogo

Elia Bennet

13/01/2023 3:23PM

Episode Synopsis "Exclusive: Siku-Enjoy ndoa nilikamilisha picha tu, nilitengeneza pesa kidogo"

Mwimbaji Staa wa Bongofleva Ben Pol ameiambia AMPLIFAYA ya Clouds FM kwenye Exclusive Interview kuwa hakuifurahia ndoa yake kama alivyotarajia na kukiri kuwa hali ilikua tofauti na jinsi Watu wengi kwa nje walivyokuwa waki-imagine kupitia picha mbalimbali alizokuwa akiziweka mtandaoni.  

Listen "Exclusive: Siku-Enjoy ndoa nilikamilisha picha tu, nilitengeneza pesa kidogo"

More episodes of the podcast Elia Bennet