EXCLUSIVE JACQUELINE MENGI AFUNGUKA SIKU ZA MWISHO ZA DR. MENGI, KUZUIWA KABURINI, MALI ALIZOACHIWA

EXCLUSIVE JACQUELINE MENGI AFUNGUKA SIKU ZA MWISHO ZA DR. MENGI, KUZUIWA KABURINI, MALI ALIZOACHIWA

Elia Bennet

03/03/2020 10:21AM

Episode Synopsis "EXCLUSIVE JACQUELINE MENGI AFUNGUKA SIKU ZA MWISHO ZA DR. MENGI, KUZUIWA KABURINI, MALI ALIZOACHIWA"

Mke wa pili wa Marehemu Dr. Reginald Mengi, Jacqueline Mengi amekaa kwenye Exclusive Interview na Millard Ayo na kufafanua kile alichokiandika kuhusu kuzuiwa kuingia kwenye eneo la Familia ambako Marehemu Mume wake alizikwa. Hata hivyo baada ya mahojiano haya tuliutafuta upande wa pili wa Familia ya Marehemu ili kusikia kauli yao juu ya tuhuma hizo zilizotolewa na Jacqueline lakini hawakuwa tayari kuzungumza chochote kwa sasa.

Listen "EXCLUSIVE JACQUELINE MENGI AFUNGUKA SIKU ZA MWISHO ZA DR. MENGI, KUZUIWA KABURINI, MALI ALIZOACHIWA"

More episodes of the podcast Elia Bennet