Clip#3 - Kama unamzunguko wa Hedhi Unaoyumba Kidogo 0655 580 788

Clip#3 - Kama unamzunguko wa Hedhi Unaoyumba Kidogo 0655 580 788

Angomwile Fungo's show

03/01/2018 2:02PM

Episode Synopsis "Clip#3 - Kama unamzunguko wa Hedhi Unaoyumba Kidogo 0655 580 788"

Health Point - inakuletea maelezo ya namna gani unaweza kufanya ili kukokotoa siku zako za uzazi ikiwa utakuwa na mzunguko wa hedhi unaoyumba kidogo. Mzunguko wa hedhi unaoyumba kidogo ni ule ambao kila mwezi unaingia tarehe tofauti tofauti kwenye bleed yako. Mfano mwezi wa 10 labda ulitumia siku 20 kuingia hedhi, alafu mwezi wa tisa ukatumia siku 25 kuingia hedhi na mwezi wa 11 ukatumia siku 28 kuingia hedhi. Na kawaida yako ni kuwa mzunguko wako wa hedhi huwa hauzid siku 28 na wala haupungui siku 20. Basi utatumia mfumo wa kutafuta siku ya kwanza ya uzaziu ya mzunguko mfupi wa siku 20 na pia utatafuta siku ya mwisho ya kuingia hedhi kwa mzunguko mrefu wa siku 28. Alafu izo ndio zinakuwa siku zako za uzazi kwa wastani kwa ajili ya mwezi wa kumi na mbili kwa maelezo zaidi unaweza andika meseji ya whatsapp kwenda 0655 580 788

Listen "Clip#3 - Kama unamzunguko wa Hedhi Unaoyumba Kidogo 0655 580 788"

More episodes of the podcast Angomwile Fungo's show