Episode Synopsis "MAMBO 6 TULIYOFUNDISHWA NA CORONA/ COVID-19"
Dunia imetetemeshwa na janga la CORONA COVID-19 na kuleta maafa na athari kubwa sana sehemu kubwa. Lakini kila tatizo huwa linakuja na elimu au funzo ndani yake na bila shaka katika janga hili la CORONA COVID-19 sisi tunalo jambo la kujifunza na sio moja. Mimi nimekuandalia mambo sita, ningependa nawe uniambie mengine ambayo wewe umeyaona. Karibu: