UFA WA JUBILEE!

UFA WA JUBILEE!

Levi Onyinkwa

02/07/2020 8:50AM

Episode Synopsis "UFA WA JUBILEE!"

Tunaangazia mirundiko ya matukio tangu kuundwa kwa chama cha jubilee,mihemko ya siasa na jinsi tofauti za kisiasa na misimamo inavyotishia kukivunja chama hicho na jinsi itakavyoathiri azma ya naibu wa rais Daktari William Ruto

Listen "UFA WA JUBILEE!"

More episodes of the podcast Levi Onyinkwa