Episode Synopsis "KUNA UGUMU GANI WA WEWE KUANZA KUFANYA KILE KITU UNACHO KIPENDA? EPISODE 02"
Karibu tena usikilize episode 02 inayo sema KUNA UGUMU GANI WA WEWE KUANZA KUFANYA KILE KITU UNACHO KIPENDA ? Tumezungumza na mshindi wetu wa episode ya kwanza PETER SAGATWA ama MC MASAI, Unaweza kusikiliza podcast ya Homefm RADIO online kupitia digital platforms kama Radio public, Breaker.audio, ITunes, spotify, googleplays na kadharika