KUNA UGUMU GANI WA WEWE KUANZA KUFANYA KILE KITU UNACHO KIPENDA ?

KUNA UGUMU GANI WA WEWE KUANZA KUFANYA KILE KITU UNACHO KIPENDA ?

Homefm radio online

19/04/2020 7:44PM

Episode Synopsis "KUNA UGUMU GANI WA WEWE KUANZA KUFANYA KILE KITU UNACHO KIPENDA ?"

Kumekua na dhana au mitazamo mbali mbali pindi tunapo ongelea juu ya ndoto (dream). Wengi tumekua hatuziishi ndoto zetu kiasi cha kupelekea ndoto nyingi kuto kua halisi, unaweza ukawa unakazi au umejiajiri na kitu flani lakini bado kuna kitu cha ndoto yako unatamani kukifanya ili utimize ndoto zako unatamani kuishi maisha ya ndoto zako sasa mbali na kazi unayo ifanya sasa KUNA UGUMU GANI WA WEWE KUANZA KUFANYA KILE KITU UNACHO KIPENDA ? kitu cha ndoto zako ugumu wake uko wapi. kupitia the podcast ya Homefm RADIO online tumejaribu kuzungumzia mambo manne makuu yanayo changia kwa namna moja ama nyingine mimi au wewe kushindwa kuanza kufanya kile kitu tunacho kipenda. 1.UTHUBUTU 2.KULIZIKA 3.MAZINGIRA 4.KUTOKUA NA NDOTO HALISI

Listen "KUNA UGUMU GANI WA WEWE KUANZA KUFANYA KILE KITU UNACHO KIPENDA ?"

More episodes of the podcast Homefm radio online