UMUHIMU WA NENO LA MUNGU KWA MWAMINI

UMUHIMU WA NENO LA MUNGU KWA MWAMINI

Exavery Nduye

13/04/2021 5:59AM

Episode Synopsis "UMUHIMU WA NENO LA MUNGU KWA MWAMINI"

Kila mtu ambaye amemwamini Yesu Kristo Kama Bwana na Mwokozi wa maisha yake anapaswa kulisoma neno (Biblia) Kila wakati kwa sababu upo umuhimu wa kufanya hivyo.KARIBU usikilize mahubiri haya naamini yatakusaidia.Ujumbe huu ulihubiriwa Tar 7/4/2021 katika kanisa la HOUSE OF CHRIST-JIJINI MWANZA

Listen "UMUHIMU WA NENO LA MUNGU KWA MWAMINI"

More episodes of the podcast Exavery Nduye