NAFASI YA ROHO MTAKATIFU KATIKA KUONGEZEKA 2

22/05/2024 10 min
NAFASI YA ROHO MTAKATIFU KATIKA KUONGEZEKA 2

Listen "NAFASI YA ROHO MTAKATIFU KATIKA KUONGEZEKA 2"

Episode Synopsis

Matendo ya Mitume 1:8 [8]Lakini mtapokea nguvu, akiisha kuwajilia juu yenu Roho Mtakatifu; nanyi mtakuwa mashahidi wangu katika Yerusalemu, na katika Uyahudi wote, na Samaria, na hata mwisho wa nchi.