Katika kipindi hiki cha janga la ugonjwa wa Corona watu wengi tumepoteza wapendwa wetu, viongozi, na hata wategemezi wetu. Kitu cha kuzidi kututia nguvu ni tusikate tamaa.