Ongea na Coach Makirita Amani ni mafunzo kwa njia ya sauti yanayotolewa na Kocha Makirita Amani, ambaye ni mwandishi, mjasiriamali na kocha wa mafanikio.Sikiliza vipindi hivi kujifunza na kuchukua hatua ili uweze kufanikiwa.Pia tembelea www.amkamtanzania.com na www.kisimachamaarifa.co.tz ili kujifunza zaidi.Karibu sana.
Latest episodes of the podcast Ongea na Coach Makirita Amani's show
- JINSI YA KUEPUKA KUTAPELIWA NA FURSA MPYA.
- KITU KIKUBWA KUHUSU MAFANIKIO TUNACHOWEZA KUJIFUNZA KUTOKA KWA WANAJESHI
- AUDIO; PATA MASAA MAWILI YA ZIADA KILA SIKU.
- UNA MUDA WA KUTOSHA
- SAA MOJA MUHIMU SANA KWENYE MAISHA YAKO
- Hakuna Maisha Kama Hakuna Mabadiliko
- Fukuza Wateja Hawa.
- Usikubali Kirahisi
- Kulalamika...