Episode Synopsis "Episode 4 - MWL. B. Ongeri's podcast"
Biblia Habari Njema Waebrania 10:8 Kwanza alisema: “Hutaki wala hupendezwi na tambiko, sadaka za kuteketezwa na za kuondoa dhambi.” Alisema hivyo ingawa sadaka hizi zote hutolewa kufuatana na sheria.