Tunda La Roho ( UVUMILIVU )

19/09/2023 8 min
Tunda La Roho ( UVUMILIVU )

Listen "Tunda La Roho ( UVUMILIVU )"

Episode Synopsis

Wagalatia 5:22-23
22 Lakini tunda la Roho ni upendo, furaha, amani, uvumilivu, utu wema, fadhili, uaminifu,
23 upole, kiasi; juu ya mambo kama hayo hakuna sheria.