Kionjo cha Kipindi cha Tatu

Kionjo cha Kipindi cha Tatu

Bongo La Biashara

10/04/2017 9:45AM

Episode Synopsis "Kionjo cha Kipindi cha Tatu"

Tegea kipindi cha Bongo La Biashara. Tutaangazia jinsi wanabiashara kibera wanavyopata fedha za kuanzisha na kukuza biashara zao. Jiunge nasi upate burudani na mafunzo kemukemu.

Listen "Kionjo cha Kipindi cha Tatu"

More episodes of the podcast Bongo La Biashara