TADIO Media

TADIO ni mwamvuli wa vyombo vya habari vya kijamii 35 nchini Tanzania (vituo vya redio 34 na Klabu ya Habari ya Pemba). Redio wanachama wetu wote husikilizwa na zaidi ya watu milioni 33 nchini. Tunaamini kuwa “Taarifa ni Nguvu” na usambazaji na upatikanaji wa taarifa ni nyenzo muhimu katika kuchagiza maendeleo ya watu hasa waliopo vijijini na Tanzania kwa ujumla.

TADIO Media

Latest episodes of the podcast TADIO Media