Episode 60 | Usiendeshwe na matokeo

01/09/2025 12 min Episodio 60
Episode 60 | Usiendeshwe na matokeo

Listen "Episode 60 | Usiendeshwe na matokeo"

Episode Synopsis

Kumbe matokeo ya mitihani huathiri maisha sio tu ya wale waliofanya vibaya bali hata waliofaulu vizuri. Katika episode hii host anatumia hadithi ya kweli kufikisha ujumbe huo. Pia, pata kusikia kuhusu segment mpya iliyoongezeka kwenye show. Karibu!