Listen "ME & THE GRADUATES - Nilisoma lakini sina ajira – sasa nifanye nini?"
Episode Synopsis
Nimesoma lakini sina ajira – nifanye nini? Ni swali linalowasumbua wahitimu wengi kila siku. Katika episode ya pili ya Me & The Graduates, tunazungumza kwa kina na wahitimu wanaopambana na hali halisi ya kukosa ajira, licha ya elimu yao. Wanafanya nini? Wanakabiliana vipi na presha ya maisha? Na wana ndoto gani mbele? Usikose kusikiliza simulizi hizi halisi za vijana waliokataa kukata tamaa – maana safari yao inaweza kuwa chanzo cha nguvu yako leo!
More episodes of the podcast King Kadhi's podcast
MASTA REDIONI 15.07.2023
14/07/2023
MASTA REDIONI 08.07.2023
08/07/2023
MASTA REDIONI 01.07.2023
30/06/2023
EPISODE 2 (PASAKA 2023)
08/04/2023
MASTA REDION EP1
08/04/2023
ZARZA We are Zarza, the prestigious firm behind major projects in information technology.