ME & THE GRADUATES - Kesho Yako Iko Mikononi Mwako

06/04/2025 4 min
ME & THE GRADUATES - Kesho Yako Iko Mikononi Mwako

Listen "ME & THE GRADUATES - Kesho Yako Iko Mikononi Mwako"

Episode Synopsis

"Kesho Yako Iko Mikononi Mwako!" Usisubiri muujiza – kuwa muujiza. Anza leo kujenga kesho unayoitaka. Uamuzi, juhudi, na imani yako vinaweza kuandika historia mpya ya maisha yako. #MeAndTheGraduates #Motivation #Inspiration #KeshoYako #HustleJourney