SOMOLAKUMINATANO;- MIUJIZA/MATENDO VS KUMJUA/MAARIFA/NJIA ZA MUNGU. NA MWALIMU UFOO KASSA GEORGE

26/02/2021 9 min Temporada 1 Episodio 15

Listen "SOMOLAKUMINATANO;- MIUJIZA/MATENDO VS KUMJUA/MAARIFA/NJIA ZA MUNGU. NA MWALIMU UFOO KASSA GEORGE"

Episode Synopsis

Zaburi 103:7 Alimjulisha Musa njia zake, Wana wa Israeli matendo yake. Hosea 4: 6 Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa; kwa kuwa wewe umeyakataa maarifa, mimi nami nitakukataa wewe, usiwe kuhani kwangu mimi; kwa kuwa umeisahau sheria ya Mungu wako, mimi nami nitawasahau watoto wako. Yohana 17: 3 Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma.

More episodes of the podcast A life well lived Spiritually, Health, Realatinships and being Rich is a Treasured Possession.