SOMOLAKUMINASABA;- CONTACT ME WATSAPP: 0758600428. MUME WAKO KIROHO NI KAKA YAKO NA MKE NI DADA YAKE

SOMOLAKUMINASABA;- CONTACT ME WATSAPP: 0758600428. MUME WAKO KIROHO NI KAKA YAKO NA MKE NI DADA YAKE

A life well lived Spiritually, Health, Realatinships and being Rich is a Treasured Possession.

19/03/2021 10:26AM

Episode Synopsis "SOMOLAKUMINASABA;- CONTACT ME WATSAPP: 0758600428. MUME WAKO KIROHO NI KAKA YAKO NA MKE NI DADA YAKE"

CONTACT ME WATSAPP: 0758600428. MWALIMU WAKO UFOO KASSA GEORGE. MWANZO 20: 11 Ibrahimu akasema, Kwa sababu naliona, Yakini hapana hofu ya Mungu mahali hapa, nao wataniua kwa ajili ya mke wangu. 12 Naye kweli ni ndugu yangu, binti wa baba yangu ila siye mwana wa mama yangu, ndipo akawa mke wangu. 13 Ikawa hapo Mungu aliponisafirisha kutoka nyumba ya baba yangu, nikamwambia, Hii ndiyo fadhili yako, utakayonifanyia. Kila mahali tuingiapo, useme, Huyu ni ndugu yangu. MWANZO 4: 9 Bwana akamwambia Kaini, Yuko wapi Habili ndugu yako? Akasema, Sijui, mimi ni mlinzi wa ndugu yangu? 10 Akasema, Umefanya nini? Sauti ya damu ya ndugu yako inanililia kutoka katika ardhi. LUKA 1: 28 Akaingia nyumbani kwake akasema, Salamu, uliyepewa neema, Bwana yu pamoja nawe. 29 Naye akafadhaika sana kwa ajili ya maneno yake, akawaza moyoni, Salamu hii ni ya namna gani? 30 Malaika akamwambia, Usiogope, Mariamu, kwa maana umepata neema kwa Mungu. 31 Tazama, utachukua mimba na kuzaa mtoto mwanamume; na jina lake utamwita Yesu.

Listen "SOMOLAKUMINASABA;- CONTACT ME WATSAPP: 0758600428. MUME WAKO KIROHO NI KAKA YAKO NA MKE NI DADA YAKE"

More episodes of the podcast A life well lived Spiritually, Health, Realatinships and being Rich is a Treasured Possession.