Chini Ya Mti Ep 1: Kuokoa Muda - The Teto Ole Tutuma Show

21/04/2020 4 min
Chini Ya Mti Ep 1: Kuokoa Muda - The Teto Ole Tutuma Show

Listen "Chini Ya Mti Ep 1: Kuokoa Muda - The Teto Ole Tutuma Show"

Episode Synopsis

While we continue to prepare for takeoff!!! I mean, achieve an average frequency of reaching you with this podcast.Tumeamua kutumia muda huu wa quarantine, kujielimisha sana pia kama tutasoma vitabu. Maoni yangu ni kwamba, labda hatukupanga vile tungeathirika na mambo hii ya Corona na kuna sababu yake kwetu.Swali nyeti ni je, tutakosa njia ya kutumia muda huu kwa manufaa na ufanisi wetu? Hapa ni njia moja ninajaribu kuokoa muda na kushirikiana na wanangu.Ni jinsi gani wewe, ama ni njia gani unajihusisha ili kutumia muda huu?