Listen "THE CROSSBAR PODCAST| EPSODE 1| YANGA WANATAMBA NA REKODI HIZI"
Episode Synopsis
LEO THE CROSSBAR PODCAST IMEKITA KAMBI MITAA YA JAGWANI TUKIIMULIKA KWA KINA KIKOSI CHA YANGA SPORTS CLUB MABINGWA MARA 30 WA LIGI KUU SOKA TANZANIA BARA.TAFITI ZA THE CROSSBAR PODCAST ZIMEBAINI REKODI MBALIMBALI ZA KIKOSI CHA YANGA NDANI YA MISIMU YA HIVI KARIBUNI.BASI HILI KUJUA KWA UNDANI NI KIPI HASA NIMEKUANDALIA HII LEO ENDELEA KUISIKILIZA THE CROSSBAR PODCAST AMBAPO UNAWEZA KUIPATA KUPITIA AUDIO PLATFORM MBALIMBALI
ZARZA We are Zarza, the prestigious firm behind major projects in information technology.