ADMIN-POLISI WATUMIA NGUVU SANA KWA RAIA NCHINI TANZANIA

ADMIN-POLISI WATUMIA NGUVU SANA KWA RAIA NCHINI TANZANIA

MwanavunjoTz's show

20/06/2017 10:42AM

Episode Synopsis "ADMIN-POLISI WATUMIA NGUVU SANA KWA RAIA NCHINI TANZANIA"

Mashirika ya kutetea haki za kibinadamu nchini Tanzania yamesema kuwa jeshi la polisi limetumia nguvu kupita kiasi katika kushughulikia walemavu waliokuwa wakifanya maandamano kupinga amri ya kutofika katikati ya mji wakisafirisha abiria kwa kutumia pikipiki zao za miguu mitatu zijulikanazo kama bajaji hapo awali serikali ya mkoa wa dar es salaam ilipinga pikipiki za miguu miwili kufika katikati ya mji na kupewa kibali maalum kwa walemavu wanaotumia bajaji kusafirisha abiria ikiwa ni sehemu ya ajira zao. Sikiliza ripoti ya mwandishi wetu Hawa Bihoga hapa.

Listen "ADMIN-POLISI WATUMIA NGUVU SANA KWA RAIA NCHINI TANZANIA"

More episodes of the podcast MwanavunjoTz's show