Listen "Mwanaume!! Vunja dhima potofu, saidia usawa wa kijinsia"
Episode Synopsis
Je, nini kinaweza kutokea kwa jamii ya Watanzania wote ikiwa wanaume wataamua kushikamana na kuungana ili kuvunja dhana potofu zinazochochea unyanyasaji wa kijinsia?Katika kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani, tulishiriki mazungumzo ya wazi na wanaume na wanawake wa jiji la Mbeya, tukijadili kwa kina:🔹 Jinsi wanaume wanavyoweza kuvunja dhana potofu 🔹 Nafasi yao katika kusaidia usawa wa kijinsiaMichael na Nadia waliungana na wakazi wa Mbeya katika mjadala uliojaa maoni, uzoefu, na suluhisho zinazoweza kuwa kichocheo cha mabadiliko tunayohitaji.Na ujumbe wao kwako ni huu:🔥 Mwanaume! Vunja dhana potofu, simama kwa usawa wa kijinsia! 🔥
More episodes of the podcast Men The Podcast
Jembe Kazini, Mpweke Nyumbani
21/10/2025
Wanaume vs Pombe: Tunaishi au Tunaisha?
07/10/2025
Mimi Nilivyo, Natosha
29/07/2025
Bado Najifunza
15/07/2025
Bro, Upo Tayari kuwaunga Mkono Wanawake?
01/07/2025
Hili Nalo Litapita
04/06/2025
Jikubali, Jipende
20/05/2025
Embracing The Legacy, Creating My Own Path
06/05/2025
100 Episodes later, Bado Tunapambana
23/04/2025
Kamari ni stress
09/04/2025
ZARZA We are Zarza, the prestigious firm behind major projects in information technology.