Listen " Mwanaume vs Talaka: Haki au Hadithi?"
Episode Synopsis
Wanasema ndoa ni ndoto, lakini vipi ikiwa inageuka kuwa ndoto mbaya... na unaamka mahakamani? 😬Kuna hii dhana kwamba mwanaume asiye na pesa nyingi hana haki kwenye talaka, eti unapata tu "pole kaka" na siyo mgawanyo wa mali au haki juu ya watoto wako. Lakini kweli ipo hivyo? 🤔Katika episode hii ya Men Men Men, tunaketi na wakili Ashiru Lugwisa, anayevunja hii hoja vipande vipande na kutufundisha jinsi ya kutoachika vibaya (kama hiyo inawezekana 🤣).Sikiliza sasa! Kwanza ujue haki zako, halafu ndio uamue kama unataka ndoa au uwe bachelor wa maisha! 😅#MenMenMenPodcast #TalakaNaHaki #UsiachikeVibaya
More episodes of the podcast Men The Podcast
Jembe Kazini, Mpweke Nyumbani
21/10/2025
Wanaume vs Pombe: Tunaishi au Tunaisha?
07/10/2025
Mimi Nilivyo, Natosha
29/07/2025
Bado Najifunza
15/07/2025
Bro, Upo Tayari kuwaunga Mkono Wanawake?
01/07/2025
Hili Nalo Litapita
04/06/2025
Jikubali, Jipende
20/05/2025
Embracing The Legacy, Creating My Own Path
06/05/2025
100 Episodes later, Bado Tunapambana
23/04/2025
Kamari ni stress
09/04/2025
ZARZA We are Zarza, the prestigious firm behind major projects in information technology.