KUKESHA KATIKA MAOMBI.m4a

23/09/2025 15 min
KUKESHA KATIKA MAOMBI.m4a

Listen "KUKESHA KATIKA MAOMBI.m4a"

Episode Synopsis

Maombi siyo swala la siku moja, Bali ni jambo ambalo unapaswa kulifanya Kila siku, Kila wakati, Kila mara. Luka 18:1 [1]Akawaambia mfano, ya kwamba imewapasa kumwomba Mungu sikuzote, wala wasikate tamaa.