Biashara Mtandaoni Podcast

Biashara Mtandaoni Podcast

Por: Adam Sparrows
Biashara Mtandaoni Podcast inalenga kusaidia wamiliki wa biashara kutambua fursa za kidijitali na kuzitumia kutangaza biashara kwa mafanikio. Nikiwa mtaalamu wa uuzaji wa kidijitali, nitakuwa nikiwaletea vipindi vyenye maarifa, mbinu, na mifano halisi ya jinsi ya kuendesha biashara mtandaoni kwa ufanisi.Katika podcast hii, utajifunza:Jinsi ya kutumia mitandao ya kijamii kukuza biashara yako.Njia bora za kuunda kampeni za uuzaji mtandaoni.Mbinu za kisasa za kufikia wateja wako kupitia mtandao.Hadithi za mafanikio kutoka kwa wajasiriamali na wafanyabiashara wa Kitanzania.Na mengine mengi kuhusu biashara ndani ya mitandaoni.Biashara Mtandaoni ni kwa ajili yako – ikiwa unataka kujifunza, kukua, na kufanikiwa katika ulimwengu wa kidijitali. Jiunge nami kwenye safari hii ya kuboresha biashara yako na kuifanya kuwa bora zaidi kwa kutumia teknolojia na mitandao.Follow podcast hii na unishirikishe maswali au mada unazotaka tuzungumzie. Hii ni safari yetu ya mafanikio mtandaoni!
1 episodios disponibles

Latest episodes of the podcast Biashara Mtandaoni Podcast