E06: U'HEARD - Soudy Brown amemcheck Mh. Temba kuhusiana na issue yake na mtapeli wake.

09/07/2019 7 min
E06: U'HEARD - Soudy Brown amemcheck Mh. Temba kuhusiana na issue yake na mtapeli wake.

Listen "E06: U'HEARD - Soudy Brown amemcheck Mh. Temba kuhusiana na issue yake na mtapeli wake."

Episode Synopsis

MZee baba, muheshimiwa alikuwa anamtafuta mtu wake na kumpost kama wanted. Mzee ametoa maelezo kuwa huyo mtu anatumia jina la mwenzake kupata watu. Mh Temba amefanikiwa kumpata mtu wake, msikilize amechukua hatua gani kuhusiana na jamaa wake ambaye alikuwa ni tapeli mkubwa.