Story Yangu

Story Yangu

Por: Story Yangu na Dolly Restie
Kuna story nyingi sana nyuma za watu waliofanikiwa au waliopiga hatua fulani kwenye maisha, na katika story hizo siku zote kuna somo kubwa la kujifunza.Na ndio maana Femina Hip tumekuja na Story Yangu Podcast sehemu ambayo utapata nafasi ya kusikiliza story za watu mbalimbali, story ambazo hukuwahi kuziskia popote.Story ambazo zitakupa elimu, burudani na michongo pia. Usitamani kukosa hata episode moja
1 episodios disponibles

Latest episodes of the podcast Story Yangu