Soma Mwanangu (Wosia)

Soma Mwanangu (Wosia)

Por: Nurdin Mihungo
Huu ni Wosia wa Mzazi kwa Mtoto wake, mzazi anaongea na mtoto kwa ufupi kuhusu mambo mengi ya dunia akimuasa namna bora ya kuishi, pia akimuasa kuhusu kusoma.Sura Zilizomo.i. Kuhusu Mwandishi ii. Sadaka ya KitabuKabla ya KusomaMazungumzo ya JioniSoma MwananguMaisha na KuishiDini na ImaniHekima, Busara na SubiraUtandawazi, Sayansi na TeknolojiaPesa, Tabia na MatumiziManeno ya AkibaAmbayo HayamoMtengenezaji/Producer: Musa Philimon Masaka (Ringtone Beats)Studio: Music Lab'sUshauri/Technical Advisor, Production, and Project Designer: Nyika Mbari ConsultsMawasiliano na Nurdin: WhatsApp: +255714397539
1 episodios disponibles

Latest episodes of the podcast Soma Mwanangu (Wosia)

Soma Mwanangu 06/01/2024